Kumbukumbu za ulimwengu (World Archives)

Mnamo 1996, Jose Mamani aligundua "Lango la Miungu" katika milima ya Hayu Marca Kusini mwa Peru. Muundo huu mkubwa wa kumbukumbu sio uumbaji wa Inka, lakini ule wa zamani zaidi, uliojengwa na ustaarabu wa kabla ya Incan.
 
If I had wings like my ancestor Pegasus, I could contemplate the Machu Pichu.
 
Dah kweli kua uyaone! Sijui nitaifanyia wapi majaribio hii [emoji23]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] mh! Ukimpata mlishe magimbi na viazi vitamu ili sumu ya chips ipotee ndio ataweza kubinuka hivyo! [emoji1787][emoji1787][emoji1787] Walikua na balaa sana hawa jamaa na ikishika kwa styl hiyo ujue atazaa alliens
 
Asante kwa uzoefu[emoji1545][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…