Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Oooh sawaaWatu wake walikuwa na nywele mwili Mzima na simulizi zao zilikuwa za ajabu
Hivi kwanini walikuaga wanaondoka na vichwa na wakati mwingine wanaondoka na maiti kabisa, hua wana maanisha nini au hua wanaenda kuzifanyia nini maana nimeona hivi karibuni kuna nchi ilidai maiti ya kiongozi wao wa zamani sana na wakaipata! Na wanazitunza mda mrefu sanaView attachment 2410295
PICHANI ni Nduna Songea Mbano Luwafu, alipigwa picha hii muda mfupi kabla ya kunyongwa na wajerumani Machi mwaka 1906.Mashujaa wengine 66 wa Majimaji walinyongwa Februari 27,1906.
Songea Mbano alinyongwa pekee yake siku tatu baada ya wenzake 66 kunyongwa na kuzikwa katika kaburi la pamoja àmbalo lipo katika Makumbusho ya Taifa ya Majimaji Songea. Hata hivyo Songea Mbano alizikwa katika kaburi la pekee yake.Inasadikika wajerumani walikata kichwa chake na kuondoka nacho na hapa wamezika kiwiliwili chake.