Umbali wa kutoka alipokuwapo Furlong mpaka alipokuwepo yule gaidi ilikua ni 2,430 metres sawa na 2,657 yd.
Muzzle speed ya risasi, inakadiliwa kuwa ilikua ni 823 metres per second (2,700 ft/s), maanake kuwa risasi ilifika kwa gaidi sekunde ya tatu baada ya kutoka kwenye mjegeje wa Furlong.
Hio ikaweka rekodi ya “The longest sniper kill in history at the time”, baada ya kuvunja ile rekodi ya rafiki yake ya mita 120
Rekodi ya Furlong ilidumu mpaka Nov ya Mwaka 2009, na kisha ikavunjwa na ile rekodi ya Corporal of Horse, Mwanetu Craig Harrison.
View attachment 2410348View attachment 2410350