Idadi ya vifo wakati wa utawala wa Akhenaten inaonyesha kwamba jeshi kubwa lilifutwa na mawimbi ya Bahari ya Shamu. Hii inaonekana nyuma na hadithi ya kibiblia ya kuvuka kwa Bahari ya Shamu, ambapo jeshi la Misri liliangamizwa wakati Wayahudi walipokuwa wakivuka.Ukisikia wana wa Israel utumwani Misri ndio hii sasa
Usishangae kwani hawa ndiyo waanzilishi wa lile somo la hesabu la 'Algebra' , ina maana calculations za x and y kwao ndiyo asili yake.Hizi pyramids huwa zinanipa maswali sana.
Kipindi wanajenga hizi pyramids technology ilikuwa bado ipo chini sana sasa huwa nawaza kuhusu haya mawe waliyapandisha vp kule juu[emoji849].
Jiwe moja inasadikika lina kilo 3000+
Labda niulize wakuu hizi pyramids zina urefu wa meter ngapi kwenda juu
Halafu calculations zao zilikuwa on the dot. Mfano alignment ya 45 degrees ilikuwa hawakosei hata unyuzi mmoja.Unaposema teknolojia ilikuwa ya chini unamaanisha nini wakati uhalisia unaonesha uwepo wa teknolojia ya juu? Unajua kuwa hata muda huu ukitaka kujenga majengo kama hayo bado ni changamoto kubwa ingawa unahisi kuwa kuna teknolojia ya juu?
@Mshana Jr haina maelezo kaka