Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 301,577
- 754,412
- Thread starter
- #261
[emoji1545][emoji1545][emoji1545]Mshana Jr jamaa wa Papua New Guinea sura zao zimefanana kama mapacha. Kuna moview fulani kutoka BBC, inaitwa ''Blank on a map'' ya gwiji David Attenborough ya mwaka 1971. Alifanya safari akiwa na kundi la wapagazi wakiongozwa na mzungu mmoja aliyekuwa mtawala wa hilo eneo, kutafuta kabila fulani la watu wanaoishi ndani ya msitu mnene. Kumbukumbu nzuri sana.