ngaboru
JF-Expert Member
- Mar 3, 2016
- 2,069
- 5,411
Mi nilizani ni mfaransa kwa sababu zinaitwa french fries 😂😂😂😂.Ngozi nyeusi tunatisha tumegundua vingi sema wanavipa majina ya kimchongo ila tusiofuatilia mambo tujione ni mabogus tuu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Picha zao...?mwaka 1963 watu saba walikufa kisa nyege huko india
source cnm
Huu si uchizi...?
Wazungu wajanja sana walinunua haki na hati miliki zote ambazo ni za weusiMi nilizani ni mfaransa kwa sababu zinaitwa french fries [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].Ngozi nyeusi tunatisha tumegundua vingi sema wanavipa majina ya kimchongo ila tusiofuatilia mambo tujione ni mabogus tuu.