Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hawa Hawa ndio watakuwa walifyatua Yale matofali tunajiuliza Nani kayafyatua waliyojengea pyramid..
Alabama 1845 [emoji631]
ANARCHA WESTCOTT pichani ni mmoja wa wanawake alikuwa mwanamke Mwafrika-Mmarekani mtumwa ambaye alilazimishwa kufanyiwa majaribio ya upasuaji mara nyingi akiwa kwenye meza ya Daktari J. Marion Sims, akichuchumaa na kuamka baada ya upasuaji bila faraja ya ganzi yoyote.
Imehesabiwa kuwa Anarcha alifanyiwa upasuaji takribani mara 34 kati ya 1845 - 1849. Operesheni hizi zilimsaidia Dk. Sims kuboresha mbinu zake na kuunda zana zake za uzazi na sifa nyingi.
Daktari J. Marion Sims "baba wa gynaecology ya kisasa leo" alinunua wanawake watumwa wa waafrika na kuwatumia kama nguruwe kwa majaribio yake ya upasuaji ambayo hayajajaribiwa.
Mara kwa mara Daktari huyu alifanya upasuaji wa sehemu za siri kwa wanawake Weusi BILA ANESTHESIA kwa sababu kulingana naye, "Wanawake Weusi hawasikii maumivu."
Daktari J. Marion Sims anaitwa "Baba wa Gynaecology" kutokana na majaribio yake kwa wanawake Wamarekani weusi waliokuwa watumwa huko Alabama, ambao mara nyingi waliwasilishwa kama GUINEA PIGS na wamiliki wa mashamba yao ambao hawakuweza kuwatumia kwa furaha ya ngono.
Tunaposema leo Wanawake wa nguvu Ingefaa zaidi kuwapa heshima na kuwakumbuka Wazazi wetu hawa Anarcha, Betsy, Lucy na wanawake wengine ambao majina yao hayakurekodiwa, kama "MAMA WA WANAMKE WOTE"View attachment 2284079
bigthink.com