F FUSO JF-Expert Member Joined Nov 19, 2010 Posts 34,181 Reaction score 41,563 Oct 12, 2021 #1 Sikiliza Video clip hii - hawa ni Orchestre Kiam wimbo unaitwa Moni. Sikiliza kutoka 6:40 hadi 7:50
Bujibuji Simba Nyamaume JF-Expert Member Joined Feb 4, 2009 Posts 76,107 Reaction score 160,001 Oct 12, 2021 #2 Umenikumbusha zama hizo nikiwa meneja wa kampuni ya meli pale Dodoma ndipo nikahamishiwa railways Zanzibar
Umenikumbusha zama hizo nikiwa meneja wa kampuni ya meli pale Dodoma ndipo nikahamishiwa railways Zanzibar
LIKUD JF-Expert Member Joined Dec 26, 2012 Posts 18,037 Reaction score 33,681 Oct 12, 2021 #3 Dah kumbe Jf tupo Na wazee, me. najitoa aisee
The Monk Platinum Member Joined Oct 12, 2012 Posts 20,242 Reaction score 45,930 Oct 12, 2021 #4 Bujibuji Simba Nyanaume said: Umenikumbusha zama hizo nikiwa meneja wa kampuni ya meli pale Dodoma ndipo nikahamishiwa railways Zanzibar Click to expand... Wakati huo nikiwa mhasibu wa shirika la wakulima wa karafuu Morogoro. Nilikua sijaona huu ubatizo Bujibuji Simba Nyanaume
Bujibuji Simba Nyanaume said: Umenikumbusha zama hizo nikiwa meneja wa kampuni ya meli pale Dodoma ndipo nikahamishiwa railways Zanzibar Click to expand... Wakati huo nikiwa mhasibu wa shirika la wakulima wa karafuu Morogoro. Nilikua sijaona huu ubatizo Bujibuji Simba Nyanaume
Iselamagazi JF-Expert Member Joined Sep 26, 2011 Posts 6,020 Reaction score 6,161 Oct 12, 2021 #5 Miaka ya 1978!!! Mkuu, utakuwa unatuonea wengi hapa jukwaani. Labda Mzee Mohammed Said atakuwa anajua.
Miaka ya 1978!!! Mkuu, utakuwa unatuonea wengi hapa jukwaani. Labda Mzee Mohammed Said atakuwa anajua.
K kolola JF-Expert Member Joined Apr 26, 2020 Posts 7,185 Reaction score 9,425 Oct 12, 2021 #6 Wakati huo tupo A level
K kolola JF-Expert Member Joined Apr 26, 2020 Posts 7,185 Reaction score 9,425 Oct 12, 2021 #7 Naogopa dudu lenye jicho moja