Uchaguzi 2020 Kumchagua Tundu Lissu kuwa Rais ni kuikabidhi Tanzania kwa Mabeberu. Tusifanye kosa twende na John Pombe Magufuli

Lakini ndugu mjumbe mimi najua mlidai upinzani umekufa, huoni kuwa kuzungumzia habari za Lissu na urais ni kupoteza muda? Mna wasiwasi gani wakati mmejenga fly over, mmenunua ndege, SGR, Nyerere dam, na mengine mengi. Mbn mnaonekana kutojiamini?
 
Ukimchukia mtu anayekuzidi uwezo wa kichwa . Hakukufanyi wewe kuwa na akili. Lissu yuko smart labda figisu .
Uwezo wake kichwani sio kigezo cha kuwa rais. Kama alijitoamhanga kutetea kampuni kama Acaccia unadhani anafaa kuwa hata diwani? Yupo tayari kuuza hata watanzania,kisa anawahusudu wazungu
 
Umesema tayari “wazungu hawakumsikiliza”. Sasa hao mabeberu unaosema ataikabidhi nchi kwao ni akina nani??

Ulishaandika mada, jaribu kuisoma tena uone kama kuna mantiki yoyote!!
 
Taifa Lina angamia kwa kuwa na watu Kama wewe
 
magufuli hana jipya katuchosha.
Leo hii hana jipya Ila naona kabsa generation ijayo watamjua Magufuli hata kuliko macelebrities hawa wa nchini..

Kwasababu kipindi cha nyuma watoto walimjua Diamond na Joti zaidi ya Kikwete..

One day mtamkumbuka Ila hatakuwepo tena
 
H
Lumumba hakukaliki hakulaliki haaaa.
Hakukaliki kwa udhamini wa rais mteule wa Jamii Forum, Twitter, Instagram 😁😁😁, but out there watanzania huwaambii chochote juu ya mtetezi wa wanyonge JPM.
 
Seriously!? au mnajifariji tu no body can defeat JPM you have my words.
 
acha kuongea shit ww, hii ni nchi huru, kila mtu ana haki ya kuchagua kiongozi anayemtaka kama ni JPM au LISU sasa wewe una hamasisha kama nan?
 
Hatutaki mtu anayetetea Lesbians ,arudi hukohuko alipokuwa
Hao hao lesbo pale Lumumba wanawaita mabeberu na wanaume kweli kweli..

mwaka huu hakuna wakumwachia Mungu..

T 2020 CDM
 
Uwezo wake kichwani sio kigezo cha kuwa rais. Kama alijitoamhanga kutetea kampuni kama Acaccia unadhani anafaa kuwa hata diwani? Yupo tayari kuuza hata watanzania,kisa anawahusudu wazungu
Umepotelea wapi bababhuko ?! Au umekatwa ?!.

Lissu hajawahi kuwatetea wazungu, Bali amekosoa how we handle these issues. Na hapo hujakubali kama maamuzi ya mabosi hasa omukaya yameliingiza nchi hii chaka !!. Ref mkataba wa bagamoyo rd . Najua ukipenda chongo utaiita kengeza [emoji120]
 
Bora kukabidhi nchi kwa mabeberu ili ajira ziongezeke sio kwa mkwamo huu
 
Ahaaa Jaduong, kukosoa how we handle these situations ndio kusema hamuwezi kubadili mikataba? Na kuanza kusema mtashitakiwa MIGA? Na kwamba madini yote yalikuwa mali ya Accacia!
Leo hii inaundwa Twiga minerals Ltd na serikali inapata 16% shares na economic benefits 50% mnabeza eti hakuna lolote la maana.
 
Sasa kiingereza hujui !!, Unajilazimisha kuiandika ya nini ?!. Mtu kama wewe uni challenge kweli ?!.

Masikini wafuasi wa Ccm
Usikariri english, nmeandika makusudi na umeelewa, eti challenge, challenge mitandaoni is for pussy cat. Sina huo muda, tukutane uso kwa uso.
 
Still we have nothing, believe or not. Na bado kufikia hayo makubaliano tumepoteza vingi na ndiyo maana hatukushtakiwa huko miga. Najua hata Barick & Acacia wamepoteza sana na ndiyo maana Ile lugha ya kila mtu Noah iliishia hewani .

Kuwa nje ya box ufikiri vizuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…