Uchaguzi 2020 Kumchagua Tundu Lissu kuwa Rais ni kuikabidhi Tanzania kwa Mabeberu. Tusifanye kosa twende na John Pombe Magufuli

Nina shida moja kwamba siwezi kuamini jambo fulani mpaka kuwe na 'justification'. Msimamo kama huu alikuwa nao mwanafalsafa na mwanasayansi Mfaransa, René Descartes (1596-1650). Alikuwa na methodolojia aliyoiita 'methodical doubt' iliyomsaidia kupima ukweli wa hoja. Methodolojia yake imenifanya hata mimi mtu akizungumzia jambo fulani kuwe na 'justification'. Kwa hivyo, hata kwa haya uliyoyasema nahitaji kushawishika kwa hilo. Hapa naongelea kwenye kujenga hoja ili niweze kuona kitu kinachoitwa 'truth of reason'.
 
(System haiwezi kukabidhi nchi) sasa kama ni hivyo kura ni za nini? Si muwaambie hao system wamkabidhi wanaemtaka?
 
Tunapata mgao wa 16% wa net profit kutokana na na hisa za bure. Bado kuna 50% economic benefit bado unaona tumepoteza? Hatukushitakiwa Miga sababu serikali ipo makini na ilitunga sheria inayoruhusu kubadili mikataba.
Uzalishaji utaanza soon hapo ndio mtajua tumepata au la maana huko nyuma tulikuwa hatuna share hata 1
 
Lissu ni msiba wa kitaifa.Anasema kama miaka mitano hali imekuwa mbaya hivi chini ya magufuli basi akiongezewa mingine mitano itakuwa ni gharika.Hivi miundo mbinu yote iliyotengenezwa na miradi mikubwa inayoendelea kwake Lissu ni uharibifu ? Kwa hiyo vilevile ina maana atawaomba hao wakubwa zake huko nje tuondolewe kwenye nchi ya kipato cha kati na turudishwe kwenye nchi masikini zaidi duniani ? INA LILLAH WA INA ILLAIH RAJ'UUN.
 
aisee!
ila spana ya Lissu imeminya korodani zetu vibaya sana aisee huku chamani.... kooote kabisa kuanzia viunga vya hapa Lumumba hadi kule Chamwino!
 
Safari hii hatupangiwi, hatutachagua mbaguzi wa vyama.Tunakwenda na lissu
 
Huo mgao wa 16% umeuona au unakaririshwa tu??
 

Dhana ya Ubeberu na Siasa za Tanzania
 
Kuendelea kuiweka CCM madarakani ni kuendelea kuifukarisha Tanzania
 
wewe bado ni mtoto sana kichwani japo unaumri mkubwa.!!!
 
unawaamini sana mabeberu ,hakuna kitu ambacho chadema wanapeda sana kusikiliza kama story za mabeberu wanawaamini vilivyo na kuwatukuza.

..hata ccm wanawapenda mabeberu.

..juzi niliwaona mkikenua baada ya balozi wa usa kuja nchini.
 
Hahaha Leo Lumumba hali si hali. Mnahamisha tu magoli. Na jiandaeni tu kumkabidhi nchi mwana wa Singida, mtoto wa Ilboru, Tundu Antipas Lissu
Kila anaepinga watu wanaomchafua Lissu anapata mi likes ya kumwaga sijui kwanini🤣🤣🤣🤣 yani hii post ina mi likes Kama yote ila mtoa Mada mi like yake haifikii ya huyu comrade walahi lisu mbaya sana
 
Mkuu! Unawaponda hao mabeberu, wakati familia zenu zinatumia neti za misaada.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…