Uchaguzi 2020 Kumchagua Tundu Lissu kuwa Rais ni kuikabidhi Tanzania kwa Mabeberu. Tusifanye kosa twende na John Pombe Magufuli

Tundu Lissu atauzaje nchi kwa wazungu? Naomba ufafanuzi
 
Tubadilishieni Singeli mtuletee hata ya Manifongo.
 
Ni maoni yako. Sio kila mmoja wetu anaafikiana na wewe. Hakuna mwenye hati miliki au cheti cha sifa ya kuwa raisi. Kuwa nje ya nchi kwa matibabu hakujamvua haki za kikatiba za kuchaguliwa kuwa raisi. Anaweza kuwa raisi akichaguliwa
 

Hapa ndugu yangu nimejichanganya au? Una maana hao mabeberu ni wa hapa Tamzania?
Kwa vile umesema wazungu walimuona bogus na mie ninavyoelewa pale ukisema beberu basi ni mzungu au? Sasa itakuwaje akichaguliwa atakabidhi nchi kwa mabeberu/ wazungu wanamuona bogus?

nieleweshe
 
 

hapa sasa ni kuwakosea heshima wabunge maaana kuna wabunge wanachapa sana kazi, nadhan kama alioambiwa kuna kazi ndogondogo
 
Ni baba mpumbavu pekee kama stone anayeweza kusifiwa kwa kumnunulia mkewe Iphone X lakini aliacha mwanae akafa kwa kukosa laki moja ya matibabu. Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ibara ya 8[1](a) inasema "Lengo kuu la serikali litakuwa ni ustawi wa (wananchi) WATU sio ustawi wa VITU. Asomaye na afahamu.!
 


https://www.facebook.com/
 

Mabeberu wenyewe ni hawa unaowaona kwenye hii link hapa chini wanaoiba kura kila uchao!

https://www.facebook.com/
 
Awamu hii mtaongea kila kitu. Hizo proganda za kitoto kabisa. Miaka yote mabeberu ndio wanatusaidia miradi mingi. Iwaje leo nchi iende kwa mabeberu wakati tayari tupo under their control?

Sent from my SM-J250F using JamiiForums mobile app
 

Usiogope mbuzi wataingiza polepole!
 
Lissu hafai kuwa Rais wa nchi hii, Ubunge ndio ilikuwa level yake ya juu na ya mwisho.
Lissu ...aiseee! Anawahadi wa Tanzania kuwa atairudisha nchi kwenye ukoloni...! Hiyo akili kweli ya matanzania anayewathamini watanzania wenzake!? Nilisema Lissu anatudharau watanzania.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…