Analogia Malenga
JF-Expert Member
- Feb 24, 2012
- 5,108
- 10,191
Dkt Faustine Ndugulile ametoa ushauri kwa wananchi kutumia mitandao ya kijamii vizuri, na kuepuka makosa ya mtandao.
Amesema kuwa na bifu na mtu mtaani halafu kutumia ukurasa wa Instagram kumchamba ni kosa kisheria. Aidha kumkashifu mtu mtandaoni ni kosa.
Amesema hata kama mtu atatumia jina lisilo halisi katika TEHAMA mtu akitenda uhalifu atabainika na kuchukuliwa hatua.