Kumchamba mtu kwenye ukurasa wa Instagram ni kosa kisheria - Dkt. Ndugulile

Kumchamba mtu kwenye ukurasa wa Instagram ni kosa kisheria - Dkt. Ndugulile

Kigogo wameshambaini?

Kosa kisheria kwa sheria ipi atuwekee vifungu vya hiyo sheria au neno lake ndiyo sheria! amekaa tu amejiamulia kuongea basi
Huyu mwamba atafutiwe kazi nyingine ya kufanya.

Hawa walishajipanga kuumiza wananchi na hizi ni sera za rais aliyepita.

Hili jitu limekariri mambo halibadiliki kulingana na mazingira.

Yule bwana angekuwepo mpaka leo tungekuwa na hali mbaya sana hili jitu linaonekana lina roho mbaya sana

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Dkt Faustine Ndugulile ametoa ushauri kwa wananchi kutumia mitandao ya kijamii vizuri, na kuepuka makosa ya mtandao.

Amesema kuwa na bifu na mtu mtaani halafu kutumia ukurasa wa Instagram kumchamba ni kosa kisheria. Aidha kumkashifu mtu mtandaoni ni kosa..
Sawa. Tutakuwa tunachambiana Tweeter na fb na chooni
 
Hii wizara hovyo kabisa viongoz wake,wameshindwa kuwasaidia wananchi vifurushi vya Vodacom na Dstv vipo juuu wao ni kukimbizana na wambea na wachambaji et!

Wameshindwa kazi
 
Badala ya ku promote inovation wanafuatilia michambo. shame
Masuala ya aibu sana. kama kuna matusi ni kazi ya polisi, yeye akuze teknolojia ya mawasiliano na kuhakikisha watanzania wanafaidika. huyu waziri hana akili ya kuendesha hiyo wizara.
 
Back
Top Bottom