Analogia Malenga
JF-Expert Member
- Feb 24, 2012
- 5,108
- 10,191
Kwa sheria hii....nawashauri waongeze watendaji na majengo ya mahakama ..maanake wengi tutakuwa na kesi za kujibuDkt Faustine Ndugulile ametoa ushauri kwa wananchi kutumia mitandao ya kijamii vizuri, na kuepuka makosa ya mtandao....
[emoji3][emoji3] hii wizara ifutwe haueleweki kabisa Sasa waziri anafuatilia wachambaji wa igNgugulile anajielewa kweli? Utamchambaje mtu mtandaoni sasa
Kumchamba mtu ni kumuosha/kumnawisha sehemu ya kinyeo baada ya kutoa haja kubwa
Aache mambo ya kipumbavu na ajikite kutanua wigo katika kuendeleza tehama kuendana ulimwenguDkt Faustine Ndugulile ametoa ushauri kwa wananchi kutumia mitandao ya kijamii vizuri, na kuepuka makosa ya mtandao.
Amesema kuwa na bifu na mtu mtaani halafu kutumia ukurasa wa Instagram kumchamba ni kosa kisheria. Aidha kumkashifu mtu mtandaoni ni kosa.
Amesema hata kama mtu atatumia jina lisilo halisi katika TEHAMA mtu akitenda uhalifu atabainika na kuchukuliwa hatua.
Sema Kimeu manaaaKimeumanaaaah.
Hahahahaha “misimu” ya Insta huijui au nawewe unataka uchambwe kinyelo?”Ngugulile anajielewa kweli? Utamchambaje mtu mtandaoni sasa
Kumchamba mtu ni kumuosha/kumnawisha sehemu ya kinyeo baada ya kutoa haja kubwa
Waziri wa michambo na umbea.Dkt Faustine Ndugulile ametoa ushauri kwa wananchi kutumia mitandao ya kijamii vizuri, na kuepuka makosa ya mtandao.
Amesema kuwa na bifu na mtu mtaani halafu kutumia ukurasa wa Instagram kumchamba ni kosa kisheria. Aidha kumkashifu mtu mtandaoni ni kosa...