Kumchamba mtu kwenye ukurasa wa Instagram ni kosa kisheria - Dkt. Ndugulile

Kigogo wameshambaini?

Kosa kisheria kwa sheria ipi atuwekee vifungu vya hiyo sheria au neno lake ndiyo sheria! amekaa tu amejiamulia kuongea basi
Huyu mwamba atafutiwe kazi nyingine ya kufanya.

Hawa walishajipanga kuumiza wananchi na hizi ni sera za rais aliyepita.

Hili jitu limekariri mambo halibadiliki kulingana na mazingira.

Yule bwana angekuwepo mpaka leo tungekuwa na hali mbaya sana hili jitu linaonekana lina roho mbaya sana

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Sawa. Tutakuwa tunachambiana Tweeter na fb na chooni
 
Watu waendelee kuchambia chooni,siyo insta.
"Wapinzani walituchelewesha sana...."
Nasema uwongo ndugu zangu
 
Hii wizara hovyo kabisa viongoz wake,wameshindwa kuwasaidia wananchi vifurushi vya Vodacom na Dstv vipo juuu wao ni kukimbizana na wambea na wachambaji et!

Wameshindwa kazi
 
Badala ya ku promote inovation wanafuatilia michambo. shame
Masuala ya aibu sana. kama kuna matusi ni kazi ya polisi, yeye akuze teknolojia ya mawasiliano na kuhakikisha watanzania wanafaidika. huyu waziri hana akili ya kuendesha hiyo wizara.
 
Naona wizara ifutwe tu kazi yake kufatilia wachambaji wa IG ni ukosefu wa kazi watu kychambana kumekuwepo enzi na enzi loh
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ huu mwaka huu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…