Kumchekesha mwanamke sio tiketi ya kukubaliwa

Kumchekesha mwanamke sio tiketi ya kukubaliwa

Saint_Mwakyoma

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2019
Posts
865
Reaction score
1,208
Uzi huu nautuma kwa vijana wakuanzia 1990.

Tumekuwa tunaendekeza urafiki na matani yasiyo ya msingi na kushindwa kukubaliwa kimapenzi na watoto wa kike.

Mabro wanawabeba kizembe sababu wapo serious. Mtoto wa kike akikuita majina haya jua umemkosa;
1. Twin
2. Best
3. Yule boy
4. Sharement
5. Mr. beneficial
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
tatizo hili linazidi kua kubwa kwa vijana wengi wa kiume na kutufanya tuzaulike
 
Back
Top Bottom