Kumchukia Mondi Bin Laden Ni kujipa Stress tu

Kumchukia Mondi Bin Laden Ni kujipa Stress tu

tzfanatic

JF-Expert Member
Joined
Aug 24, 2015
Posts
626
Reaction score
382
.............................................Wasalaaaaaaaaaaaaaaaaaam .............................................
Jamaaa anajua Mpaka anakera Aiseee, Tumpe Support ndugu yetu, Ingawa me Siju Kiba anashindiwa Wapi, Maana anaweza sana aisee Ila, Hawazi Mbali , Ninachoona Mimi Huyu Mond anavision na good and Very Brilliant Misheni, atatusua na atazidi Tusua , Maana Amesubutu na kuwa mfano wa kuigwa kwa kila kijana mwenye malengo na anashindwa kwa kuanzia, kwa leo niishie hapa...
................................Alamsikiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii.......................................
 
nimewakilisha kama ujumbe na kutoa Mchango Kama Kijana mwenye Malengo, waweza Jifunza kupitia Mtu yoyote tu hata Kama Mwanamuziki, ..sio Lazima Ufanye Mziki Bali unaweza tumia the same Technic kufika Malengo,
 
mkuu, tatizo ni nini? ....kuwa mstaarabu Joo
Unashangaa nini mkuu .......wakati ushasema kumchukia MONDI ni kujitia stress tu,NDIO HAO WENYE STRESS NA HAZITAWAHISHA KWAVILE WANATEGEMEA ASHUKE NA YEYE NDIO KWANZA KAMA ANAANZA KILA SIKU ANAKWENDA JUU HUKU YULE MLINZI WA TEMBO ANAZIDI KU DROP, WATAKOSAJE STRESS SASA ??
 
ungeuchuna Man kuliko Kutuma tusi Joo, Si kila Andiko Lazima Uchangie kiogozi.
Ukianzisha UZI wa kumsifia DIAMOND ujiandae kisaikolojia,tuliopo huku siku nyingi hawatupi shida,akikutukana nawe mtukane.
 
Unashangaa nini mkuu .......wakati ushasema kumchukia MONDI ni kujitia stress tu,NDIO HAO WENYE STRESS NA HAZITAWAHISHA KWAVILE WANATEGEMEA ASHUKE NA YEYE NDIO KWANZA KAMA ANAANZA KILA SIKU ANAKWENDA JUU HUKU YULE MLINZI WA TEMBO ANAZIDI KU DROP, WATAKOSAJE STRESS SASA ??
Man Me sijazungumzia kuhusu mlinzi wa tembo me nazungumzia mafanikio yake...
 
Unafikiri wale wa mikataba ya Sony wanafurai jambo hilo utasikia tu mind anajimaliza
 
Lakini kwa nini mtu umchukie Diamond?

Kakukosea nini hadi umchukie?
 
Back
Top Bottom