Mwamuzi wa Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 15,486
- 45,256
Kiasi kikubwa ni kweli lakini siku hizi asilimia kubwa ya wanawake wengi ni wauzaji tu, ila ni kwa style tofauti tofauti tu!!! Unaweza ukakuta mwanamke yupo home tu lakini anauza kwa kupigiwa simu tu!! Na ndio wengi siku hizi mjini!! Na huyo barmaid anaweza asiwe hatari sana kwakuwa utachukua tahadhari mapema, ila hao unao wakuta muda wote wako kwenye baibui ukajiachia tu, ukiamini ni salama kumbe ni moto!!!Ndugu zangu napenda kuwaasa, ma-barmaid wengi ni watu waliofika bar kwa bahati mbaya.
Usidanganyike na makalio, wigi, lip stick, wanja au makucha yale ya bandia.
Wengi ni watu waliokosa njia wakajikuta wako bar. Hivyo ni watu wanaoisaka fedha kwa hila zote. Ni nyoka wale, usiwakumbatie, kimbia.
Utanishukuru mbinguni
Tunajikinga vipi na sura nzuri zilizovaa ukimwi?Ndugu zangu napenda kuwaasa, ma-barmaid wengi ni watu waliofika bar kwa bahati mbaya.
Usidanganyike na makalio, wigi, lip stick, wanja au makucha yale ya bandia.
Wengi ni watu waliokosa njia wakajikuta wako bar. Hivyo ni watu wanaoisaka fedha kwa hila zote. Ni nyoka wale, usiwakumbatie, kimbia.
Utanishukuru mbinguni
Siongelei UKIMWI. Kuna effects kubwa afadhali ya ukimwiTunajikinga vipi na sura nzuri zilizovaa ukimwi?
Sijasema tuwatenge, ninachosema usimtoe bar na kwenda kufanya naye mapenzi kiholela. They are silent killersMkuu na wenyewe hawajapenda hiyo kazi, ni maisha tu!
Siku hii ndio imeshamiri sana wanajiuza watsapp, telegram huko unachagua mtoto unaungwa nae mnakubaliana pa kukutana...Kiasi kikubwa ni kweli lakini siku hizi asilimia kubwa ya wanawake wengi ni wauzaji tu, ila ni kwa style tofauti tofauti tu!!! Unaweza ukakuta mwanamke yupo home tu lakini anauza kwa kupigiwa simu tu!! Na ndio wengi siku hizi mjini!! Na huyo barmaid anaweza asiwe hatari sana kwakuwa utachukua tahadhari mapema, ila hao unao wakuta muda wote wako kwenye baibui ukajiachia tu, ukiamini ni salama kumbe ni moto!!!
Huu utoto utakuisha lini? Hujawahi kulala nao lakini una experience, unaandika kitu hujui ni utoto.....
Note: Sijawahi kumtongoza wala kulala na barmaid. Nawaasa tu kwa experience niliyoipata kidogo kuhusu hawa wauza pombe wanaolipwa 50 lakini wanajega kijijini kwao na kutuma pesa ya kula kwa mama na watoto wake.
Pole sana. Acha kuingia kichwakichwa. Siku nyingine utakosa hata bundle la kupost hapa.Ndugu zangu napenda kuwaasa, ma-barmaid wengi ni watu waliofika bar kwa bahati mbaya.
Usidanganyike na makalio, wigi, lip stick, wanja au makucha yale ya bandia.
Wengi ni watu waliokosa njia wakajikuta wako bar. Hivyo ni watu wanaoisaka fedha kwa hila zote. Ni nyoka wale, usiwakumbatie, kimbia.
Utanishukuru mbinguni.
Note: Sijawahi kumtongoza wala kulala na barmaid. Nawaasa tu kwa experience niliyoipata kidogo kuhusu hawa wauza pombe wanaolipwa 50 lakini wanajenga kijijini kwao na kutuma pesa ya kula kwa mama na watoto wake.