kibaravumba
JF-Expert Member
- Dec 21, 2012
- 6,634
- 7,015
Usiwanyanyapae watoto wa watu,wako wengi tu wanafanya benki ni wauza uchi kwa matajiri wateja wao.
Kuna wengine ni walimu,au watumishi kabisa,achilia mbali wanachuo wasomi watarajali.Wamejisajili kwenye makundi mtandaoni ukiingia insta utapata namba zao.Wanafanya biashara kwa siri.
Kuna wengine ni walimu,au watumishi kabisa,achilia mbali wanachuo wasomi watarajali.Wamejisajili kwenye makundi mtandaoni ukiingia insta utapata namba zao.Wanafanya biashara kwa siri.
Ndugu zangu napenda kuwaasa, ma-barmaid wengi ni watu waliofika bar kwa bahati mbaya.
Usidanganyike na makalio, wigi, lip stick, wanja au makucha yale ya bandia.
Wengi ni watu waliokosa njia wakajikuta wako bar. Hivyo ni watu wanaoisaka fedha kwa hila zote. Ni nyoka wale, usiwakumbatie, kimbia.
Utanishukuru mbinguni.
Note: Sijawahi kumtongoza wala kulala na barmaid. Nawaasa tu kwa experience niliyoipata kidogo kuhusu hawa wauza pombe wanaolipwa 50 lakini wanajenga kijijini kwao na kutuma pesa ya kula kwa mama na watoto wake.