Kume kucha (Tuma salamu kwa watu Uwapendao hapa Jf)

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Imepenya hiyooo usitake kunigimbanisha na ndugu yangu mie tumetoka mbali wenyewe
Hahaa Yaani umeamua kunifanyia figisu figisu kijanja ilimradi tu " unikatalie kijanja kunitafutia mtoto mzuri " sawa bwana ..acha nibaki na hamu zangu tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwakweli sikutafutiii ndugu yangu nitamuangalia vipi
Aisee " Haya bwana ".... ndugu yako mimi ni dada yangu ... twahe shimiana Sana "so hatuwezi ku-cross the line ".... kila nikuambiapo hivi hutaki kunielewa ..dahh nina gundu mimi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…