Kume kucha (Tuma salamu kwa watu Uwapendao hapa Jf)

Kume kucha (Tuma salamu kwa watu Uwapendao hapa Jf)

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] huyo manzi wako awe na roho ngumu kama yangu sababu namfumaniaga huyo jamaa ujue mara kwa mara
Woiiiiii " nikiwa mkubwa Mungu anijaalie na mimi nipate manzi mwenye upendo kama wako .

.@wick mzee baba huyu mtoto umempa nini !!? Mbona amekuganda kama kupe?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom