Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 154,929
- 459,607
Hivi kaniacha kweli mm mshahara wake sina shida nao nina shida na yeye tuNdio umeshaachwa hivyo ... Wick kaongezwa cheo kazini na mshahara umepanda ... Basi sasa hivi anaongozwa na kichwa cha chini ...kila skirt anayoiona lazima asimamishe gari ..haha
Sent using Jamii Forums mobile app