Kume kucha (Tuma salamu kwa watu Uwapendao hapa Jf)

Rose mhando kwenye peak yake aliwahi imba hivii!!

...Nakuulizaa shetani umepata wapi mamlaka ya kuniharibia kiasi hiki weeee!!.... [emoji444][emoji444][emoji444][emoji445][emoji445][emoji445][emoji445]
Hahaa ' kwa hiyo huo ujumbe wako nikusaidie kuufikisha kwa nani ?

Sent using Jamii Forums mobile app
Boss wangu Shunie tuu
Ngoja aje hapa tumsikie ...isije kuwa unampaka mafuta kwa style ya mgongo wa chupa

Sent using Jamii Forums mobile app
Haha mkuu unafaidi sana ... nipigie pasi basi kwa mdogo wake Shunie angalau na mimi ndugu yako nipate kujitoa kimaso maso " kwenye huu u,- bachela sugu ... Shunie kila niki mwambia anipigie pasi hataki

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa anavyokujua we nenda jukwaa la intro katafuta new membaz tu..
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Uziguani pasikie tu rafiki.
Sasa sindio uniweke na mimi ndugu yako huko ... ni yafaidi mema ya nchi natarajia kustaafu mwakani .... wataka kikokotoo nitakacho kipata nikitafune na nani !? Au wataka nidumbikie kwa mafisi ya mjini nini wanifilisi kikotoo changu chote na wanibakishe na nguo mbili tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Natuma salamu kwa maraia wote na machalii ya Ara.
wazee wa Linchi la United state of Arusha ama Chuganistani.
Haina gweraa machalii yangu machale kundesha.
nimeongea Chuga language kuonyesha msisitizo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…