Kume kucha (Tuma salamu kwa watu Uwapendao hapa Jf)

Kume kucha (Tuma salamu kwa watu Uwapendao hapa Jf)

Napenda kutuma salamu kwa wanalumumba wote wazee buku saba.
UJUMBE: ugueni pole na sindano kali za lissu.

"Typed with my thumbs."
 
Natuma salamu kwa watu wote wanaonipm... Ujumbe, "Kama unaona mipango yako haiendi nenda mwenyewe"

"heart broken"
 
Back
Top Bottom