Atakuwa na mabebez wengi nini so waogopa WW3 Ya maneno toka kwa wake wenza !? (Kidding)
Sent using Jamii Forums mobile app
Lol " usiniambie ndio kwamba list ya watu wa 5 inakuchanganya kiasi hicho bibiMjukuu unanifukulia makaburi, hata nimesahau wakati naandika hii komenti nilikuwa namfikiria nani
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata hainichanganyi ni vile tu kila mtu ana ratiba yakeLol " usiniambie ndio kwamba list ya watu wa 5 inakuchanganya kiasi hicho bibi
Sent using Jamii Forums mobile app
Lol ... nitajenga ukaribu na 1 kati ya wale top 5 ...halafu nione kama itashindikana kukuona Maybe mapenzi yenu yawe yanafanyika kwa kutumia Wi-fi
Haha sawa mjukuu jaribu bahati yakoLol ... nitajenga ukaribu na 1 kati ya wale top 5 ...halafu nione kama itashindikana kukuona Maybe mapenzi yenu yawe yanafanyika kwa kutumia Wi-fi
Sent using Jamii Forums mobile app