Kume kucha (Tuma salamu kwa watu Uwapendao hapa Jf)

Nachokupendea kaka yangu Hearly hujui kuchukia, ile sms nikajua utaniandikia jibu moja baya sana [emoji3][emoji3][emoji3]ubarikiwe.
Haha dogo naanzaje kuchukia sasa ',-- kuchukia sio kuzuri kwa afya waweza jipa Heart attack bure .... nashukuru mungu ameniepusha na tabia ya kuchukia bila sababu za msingi ... na hata inapotokea nikachukizwa na jambo huwa napenda kuliacha lipite haraka Sana " na huwa sijali tukio lilopelekea kuniumiza kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…