Kume kucha (Tuma salamu kwa watu Uwapendao hapa Jf)

Kume kucha (Tuma salamu kwa watu Uwapendao hapa Jf)

hearly

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2014
Posts
45,678
Reaction score
63,304
Hallow
Husika na kichwa cha habari hapo Juu _

Kama vile ambavyo wote Tuna tambua kuwa hili Jukwaa ni la chit chat
Hivyo linatoa fursa kwa sisi kuweza kupiga story mbali mbali za kufarijiana " kupendana. kutiana Moyo 'Na kutaniana (mizaha)

Hivyo basi nimeona nitumie fursa hii " na kufungua huu uzi kwaajili ya wana Jf wote ambao watakuwa wana onyesha hisia zao " kwa kuwa kumbuka wenzao wanao wapenda " (marafiki/wapenzi) kisha wana watumia salamu na kuwatakia dua njema zenye KHERI .BARAKA NA MAFANIKO ..

karibuni
images(48).jpeg
dad2cd8245514f0ebd2ab2770b17060a.jpeg
images(47).jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Natuma salama kaka yangu Ukwaju bila kumsahau mdogo wangu Hearly.
 
Back
Top Bottom