Immortal_MH
JF-Expert Member
- May 14, 2013
- 1,240
- 2,252
nitumie na mimi salamu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
nitumie na mimi salamu
😂😂😂😂..unataka kuzimia ww naona
Hahaha, nimejitoa kufanyiwa majaribio. Ninaahidi sitazimia, na hutajuta kunitumia mimi kwenye hiyo practical.
[emoji23][emoji23][emoji123][emoji123]Haiwezekani kizazi kipya mnamsahau mshana Jr .natuma salamu kwa
Mshana
Kikulakachako
Izzo
Nokia83
Mo11
Badili tabia
Paschal mayala
Jingalao
Manengelo
😀😂😂😂😂Mungu wangu!vijana mna nn lakini?
😁😂😂😂😂😂 ww nakuachia babydoll..haka kanakufaa kamiss zenjiNaona aibu kuitwa kijana na mdogo wangu.
Nafeel goosebumps kupata salamu kutoka kwako Baby Doll [emoji56][emoji56][emoji56]
Sitakutaja [emoji13][emoji13][emoji13][emoji13].[emoji3][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]akijuaaaa[emoji23][emoji23]ataninyonga
Marhaba mdogo wangu I hope uko mzimaMimi natuma salamu za shikamoo kwa Dada zangu..
Khantwe
manengelo
espy
cute b
Narudi kuongeza list.
Sent using Jamii Forums mobile app
Asante kwa kushukuru dogoDogo langu nashukuru sana kwa salamu zako, nimezipata.
Natuma salamu kwa Immortal_MHnitumie na mimi salamu
[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ww nakuachia babydoll..haka kanakufaa kamiss zenji
Jamani asante sana dogoBaby Doll ntambemenda bure, nafasi yake ni kuwa mdogo wangu wa humu JF.
Nafeel goosebumps kupata salamu kutoka kwako Baby Doll [emoji56][emoji56][emoji56]