Kumeanza kuchangamka leo ni Gwajiboy kesho Polepole anamambo mazito ya kuteta

Genius Man

JF-Expert Member
Joined
Apr 7, 2024
Posts
3,558
Reaction score
7,935
Kumeanza kuchangamka leo ni gwajiboy kesho slow slow anamambo mazito ya kuteta.

Sauti hizi za ndani kwa ndani ya CCM zina mchango mkubwa kwenye kushinikiza mabadiliko nchini.

Ikumbukwe CCM ni chama cha kidemokrasia lazima kifanye siasa za kidemokrasia na niwatanzania ikitokea kikashindwa uchaguzi na upinzani bado pia upinzani ni watanzania hawa hawa, utofauti hawa wapo madarakani hawa hawapo sioni sababu za msingi za kuminya demokrasia.

Kuna watu walitoka CHADEMA wakaingia CCM na wengine CCM wakaingia CHADEMA ni hawa hawa jambo la msingi tunataka demokrasia tunataka kiongozi bora mwenye maono hata kama ni upinzani huyo bado ni mtanzania huyo.

Tanzania ni zaidi ya CCM ni zaidi ya CHADEMA tunapokuwa naitakadi za kivyama tunaenda kuligawa taifa kuwa na nchi mbili tofauti hapa ndio chanzo cha kutokuwepo demokrasia tutaanza kutekana na kuuwana hii haikubariki.
 
Waongezeke sasa
Wasiwe wawili tuu
 
Kwani Gwajima kaongea kitu gani cha kuchangamsha nchi zaidi ya kuchangamsha JF? Just imagine, unaongea na waandishi wa habari zaidi ya nusu saa, halafu unawauliza kama kuna swali wanakaa kimyaa!!

Kweli unaweza kusema umeongea au?
 
Kwa kweli bado tunahitaji nguvu zaidi kwa sasa kuna watu CCM kuna Ulaya kuna viongozi wakubwa wa dini, kuna upinzani bado tunahitaji shinikizo zaidi tufike nchi ya ahadi.
Mfno Mpina akituliza akili vizuri anafaa sana kuteta jambo
 
Kumeanza kuchangamka leo ni gwajiboy kesho slow slow anamambo mazito ya kuteta.

Sauti hizi za ndani kwa ndani ya CCM zina mchango mkubwa kwenye kushinikiza mabadiliko nchini.

Ikumbukwe CCM ni chama cha kidemokrasia lazima kifanye siasa za kidemokrasia na niwatanzania ikitokea kikashindwa uchaguzi na upinzani bado pia upinzani ni watanzania hawa hawa, utofauti hawa wapo madarakani hawa hawapo sioni sababu za msingi za kuminya demokrasia.

Kuna watu walitoka CHADEMA wakaingia CCM na wengine CCM wakaingia CHADEMA ni hawa hawa jambo la msingi tunataka demokrasia tunataka kiongozi bora mwenye maono hata kama ni upinzani huyo bado ni mtanzania huyo.

Tanzania ni zaidi ya CCM ni zaidi ya CHADEMA tunapokuwa naitakadi za kivyama tunaenda kuligawa taifa kuwa na nchi mbili tofauti hapa ndio chanzo cha kutokuwepo demokrasia tutaanza kutekana na kuuwana hii haikubariki.
Gwajima na Polepole hawana tofauti.Wote ni wabinafsi na wamejawa na chuki dhidi ya utawa huu
 
Kwani Gwajima kaongea kitu gani cha kuchangamsha nchi zaidi ya kuchangamsha JF? Just imagine, unaongea na waandishi wa habari zaidi ya nusu saa, halafu unawauliza kama kuna swali wanakaa kimyaa!!

Kweli unaweza kusema umeongea au?
#mtotowashule.
Hujui kukosa swali ni kwamb umeelewa ulichofundishwa?
 
Back
Top Bottom