Genius Man
JF-Expert Member
- Apr 7, 2024
- 3,558
- 7,935
Kwa kweli bado tunahitaji nguvu zaidi kwa sasa kuna watu CCM kuna Ulaya kuna viongozi wakubwa wa dini, kuna upinzani bado tunahitaji shinikizo zaidi tufike nchi ya ahadi.Waongezeke sasa
Wasiwe wawili tuu
Kwani Gwajima kaongea kitu gani cha kuchangamsha nchi zaidi ya kuchangamsha JF? Just imagine, unaongea na waandishi wa habari zaidi ya nusu saa, halafu unawauliza kama kuna swali wanakaa kimyaa!!Kumeanza kuchangamka leo ni gwajiboy kesho slow slow anamambo mazito ya kuteta.
Sauti hizi za ndani kwa ndani ya CCM zina mchango mkubwa kwenye kushinikiza mabadiliko nchini.
Ikumbukwe CCM ni chama cha kidemokrasia lazima kifanye siasa za kidemokrasia na niwatanzania ikitokea kikashindwa uchaguzi na upinzani bado pia upinzani ni watanzania hawa hawa, utofauti hawa wapo madarakani hawa hawapo sioni sababu za msingi za kuminya demokrasia.
Kuna watu walitoka CHADEMA wakaingia CCM na wengine CCM wakaingia CHADEMA ni hawa hawa jambo la msingi tunataka demokrasia tunataka kiongozi bora mwenye maono hata kama ni upinzani huyo bado ni mtanzania huyo.
Tanzania ni zaidi ya CCM ni zaidi ya CHADEMA tunapokuwa naitakadi za kivyama tunaenda kuligawa taifa kuwa na nchi mbili tofauti hapa ndio chanzo cha kutokuwepo demokrasia tutaanza kutekana na kuuwana hii haikubariki.
Mfno Mpina akituliza akili vizuri anafaa sana kuteta jamboKwa kweli bado tunahitaji nguvu zaidi kwa sasa kuna watu CCM kuna Ulaya kuna viongozi wakubwa wa dini, kuna upinzani bado tunahitaji shinikizo zaidi tufike nchi ya ahadi.
Gwajima na Polepole hawana tofauti.Wote ni wabinafsi na wamejawa na chuki dhidi ya utawa huuKumeanza kuchangamka leo ni gwajiboy kesho slow slow anamambo mazito ya kuteta.
Sauti hizi za ndani kwa ndani ya CCM zina mchango mkubwa kwenye kushinikiza mabadiliko nchini.
Ikumbukwe CCM ni chama cha kidemokrasia lazima kifanye siasa za kidemokrasia na niwatanzania ikitokea kikashindwa uchaguzi na upinzani bado pia upinzani ni watanzania hawa hawa, utofauti hawa wapo madarakani hawa hawapo sioni sababu za msingi za kuminya demokrasia.
Kuna watu walitoka CHADEMA wakaingia CCM na wengine CCM wakaingia CHADEMA ni hawa hawa jambo la msingi tunataka demokrasia tunataka kiongozi bora mwenye maono hata kama ni upinzani huyo bado ni mtanzania huyo.
Tanzania ni zaidi ya CCM ni zaidi ya CHADEMA tunapokuwa naitakadi za kivyama tunaenda kuligawa taifa kuwa na nchi mbili tofauti hapa ndio chanzo cha kutokuwepo demokrasia tutaanza kutekana na kuuwana hii haikubariki.
ila wanao uwa watu hawana chuki ?Gwajima na Polepole hawana tofauti.Wote ni wabinafsi na wamejawa na chuki dhidi ya utawa huu
#mtotowashule.Kwani Gwajima kaongea kitu gani cha kuchangamsha nchi zaidi ya kuchangamsha JF? Just imagine, unaongea na waandishi wa habari zaidi ya nusu saa, halafu unawauliza kama kuna swali wanakaa kimyaa!!
Kweli unaweza kusema umeongea au?
Basi wewe utakuwa Mwalimu mzuri sana na Wanafunzi wako wazuri sana! Hongera!#mtotowashule.
Hujui kukosa swali ni kwamb umeelewa ulichofundishwa?