Finder boy JF-Expert Member Joined Jan 20, 2012 Posts 608 Reaction score 150 May 25, 2013 #1 napenda kuuliza kama kuna madhara yoyote yanayotokana na kumedha vipande vya jino kwakuwa nilikuwa nakula ghafla nikatafuna mchanga uliopelekea kupasua jino na ivyo nikajikuta namedha vipande vya jino. Naombeni msaada wenu, asanteni!
napenda kuuliza kama kuna madhara yoyote yanayotokana na kumedha vipande vya jino kwakuwa nilikuwa nakula ghafla nikatafuna mchanga uliopelekea kupasua jino na ivyo nikajikuta namedha vipande vya jino. Naombeni msaada wenu, asanteni!