Finder boy
JF-Expert Member
- Jan 20, 2012
- 608
- 150
napenda kuuliza kama kuna madhara yoyote yanayotokana na kumedha vipande vya jino kwakuwa nilikuwa nakula ghafla nikatafuna mchanga uliopelekea kupasua jino na ivyo nikajikuta namedha vipande vya jino. Naombeni msaada wenu, asanteni!