Kumekucha Afrika, haya Tanzania nao wanataka kuongeza miaka ya hatamu ya rais

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809
Hii Afrika inazidi kuwa tamu, tumeamua kuwa na demokrasia yetu wenyewe, kubadilisha gia angani ndio zetu.
Kagame alishabadilisha na kuhakikisha anatawala hadi achoke, Museveni juzi kalianzisha kwamba yeye atawale hadi afie kwenye madaraka. Halafu yeye kawaida kama tumjuavyo huwa hatanii, kuna jamaa fulani anaitwa Besingye kule kwake ambaye kawaida lazima apokee kichapo kwenye kila zoezi la uchaguzi mkuu.
Kuna yule Nkuruziza (jina hunipa matatizo) wa Burundi, kwake huwa hata simuelewi, keshajihakikishia ndiye pekee yake.

Wabongo nao wameibuka na kuhakikisha hawajaachwa nyuma kwenye mabadiliko haya ya Afrika yetu tuipendayo, naona na wao wanapeleka hoja bungeni kuongeza hatamu ya rais kuwa miaka saba, hivyo rais mmoja anapiga misele miaka 14 kwenye awamu yake.

Kenya napo sipaelewi, tumekaa mkao usiojulikana kichwa kiko wapi na mkia umeishia wapi. Mahakama kuu imetoa maamuzi ya kubatilisha matokeo ya uchaguzi, tume imetangaza tarehe mpya ya lini tufanye uchaguzi, upinzani hawajaridhia na wameamua kila siku itakua vioja, ni mimbio ya kukimbizana na mapolisi na kupora na wameahidi kuhujumu uchaguzi hadi aondolewe jamaa fulani anaitwa Chiloba, hawataki kumsikia wala kumuona. Huyo jamaa naye akihojiwa haishi kutabasamu huku akiahidi kukomaa, kwamba yupo kwenye maandalizi ya uchaguzi na makelele yote haya hayamuhusu.


Afrika hoyeee

-------------------------------------------------------

The wave of electoral law changes sweeping across East Africa and meant to favour incumbents appears to be gathering speed in Tanzania.

Chemba MP Juma Nkamia is next month expected to table a motion before Parliament to extend presidential terms from five to seven years, as is the case in Rwanda.

The law amendment is widely seen as a testing ground in favour of extending President John Magufuli’s tenure. He is currently serving his first term.

A political showdown is looming, with the opposition Chadema MP John Heche planning to separately table in Parliament a counter private motion to reduce the presidential term to four years, as is the case in the US.

The outcome of the contest is expected to have a bearing on the country’s constitution review that has stalled since 2015.

Mr Nkamia’s move comes weeks after another MP Stephen Ngonyani said President Magufuli should rule for 20 years.

In July a politician from the ruling Chama Cha Mapinduzi (CCM) Laurence Mabawa, started a social media campaign dubbed “Baki Magufuli” (Stay Magufuli) and said he would travel across the country to have President Magufuli’s tenure in office extended.

President Mwinyi

The seeds for the agitation to extend Magufuli’s appear to have been laid in April when a former President Ali Hassan Mwinyi said that a law allowing President Magufuli to extend his tenure in office for four terms should be considered. The former president said the incumbent needed this to continue installing discipline in the civil service and enhance access to healthcare.

“If it wasn’t for term limits, I would have suggested that Magufuli should be our president for eternity,” he said.

Two months later, a section of residents from Geita in northwestern Tanzania, where the president comes from called for amendments to the Constitution to allow him to serve for 20 years.

Opposition

The opposition Chadema party believes the president is behind the campaign that is gaining momentum but Dr Magufuli has repeatedly said at public rallies that he would respect the Constitution and step down after serving his two terms in office.

The opposition also sees the moves by ruling party legislators as part of an attempt to set the agenda for the stalled Constitution review that was abandoned in the run up to the October 2015 election that saw President Magufuli succeed Jakaya Kikwete.

“We will be surprised if the agenda is discussed in parliament because the discussion since 2012 has been a new Constitution, not extension of term limit. If the president hasn’t sent the MP to push for such an agenda, he should come out to resist such calls,” said Chadema’s director of protocol, communication, ideology and foreign affairs John Mrema.

Chadema fears the country could be plunged into political chaos if Mr Nkamia tables the motion as was witnessed in Uganda two weeks ago when a motion to remove presidential age limits was introduced in Parliament.

“Such calls are dangerous for national security. We don’t want to pursue the Uganda route but we want a new constitution that would set a precedent as that in Kenya when the Supreme Court invalidated President Uhuru Kenyatta’s win on August 8 over electoral malpractices,” said Mr Mrema.

However, the ruling Jubilee party in Kenya is pushing changes that would make it harder for a presidential election to be allowed on account of technicalities without due regard to the numbers the winning presidential candidate garnered.

READ: NRM says Besigye factor behind rush to pass Uganda's age limit Bill

ALSO READ: Is East Africa’s democracy now at a crossroads?


Magufuli caught up in MPs’ bids to change term limits
 
Semeni specifically nani anataka kuongeza muda. Nkamia hawakilishi Watanzania wote.

Term length is a constitutional matter. It is set in the constitution. Its change will necessarily need a constitutional amendment.

That is no easy task. That is not just passing a bill in parliament and having the president sign it into law.

The tricky part with a constitutional amendment is that, there are 1,001 other things that were discussed vigorously as needing changes in the constitution. Including private candidates and ironically, limiting presidential powers.The President said that a constitutional amendment is not a priority.

So they were dropped.

Why should this be a priority?

If this is going to be adopted and procesed, why not the other proposals?

If this is passed and other proposals are left to rot, and we say that was done by design in the name of political expediency, will that assesment be wrong?
 
Mkuu hujasema kema kuwa jubilee wanabadilisha katiba mahakama isiwe na mamlaka ya kutengua wizi wa kura...
 
Japo sipendi kabisa katiba kuchezewa hovyo hovyo, lakini niliwashangaa sana Rwanda kufuta kipindi cha uchaguzi toka miaka 7 na kurudisha iwe mitano kama nchi zingine za EA, kwa sababu zifuatazo
1) Chaguzi zinagharimu nchi pesa nyingi sana, kwa hiyo ni bora ziwekwe muda mrefu iwezekanavyo, ikiwezekana, tuwe na kipindi kimoja cha miaka kumi, na mwisho iwe ni two terms kama sasa
2) Katika nchi nyingi za Africa, chaguzi zimekua ndiyo chimbuko la machafuko ya kisiasa na hata kuporomoka kwa uchumi, mfano mzuri ni Burundi, Kenya na hata Uganda, baada ya uchaguzi huu wa Kenya kama utapita salama, Kenya itahitaji miaka mitatu kurudisha uchumi na imani ya wawekezaji pale ilipokua kabla ya uchaguzi, then kuna miaka miwili tu itakua imebaki kabla ya uchaguzi wa 2022, kama ingekuwa ni miaka saba au kumi, kungekuwa na muda wa kutosha wa kujenga uchumi, ni bora ziwekwe mbali hizi elections.
3)Kuepuka viongozi wengi wastaafu ambao ni mzigo kwa taifa kuwalea, sasa hivi Tanzania ina rais watatu waliostaafu na makamo rais watatu, prime ministers wapo wengi zaidi, tukiendelea na hii miaka mitano mitano, na ikitokea tukapata one term president, hali itakuwa mbaya zaidi

Ninaomba kuwakilisha
 

utaratibu wa india
i. Amendment by simple majority of the parliament

ii. Amendment by special majority of the parliament

iii. Amendment by special majority of the parliament and the ratification of half of the state legislatures.

kinashindikana nini hapa bongo muhimili uliojichimbia ukiamua kufanya mabadiliko kwa nguvu bila kuhusisha hiyo michakato yote?

wakiamua wanaweza hata kama raia watapiga kelele kiasi gani.
 
mzigo zaidi ya mataifa yenye awamu zaidi ya 20?
 
The motion itself is unconstitutional as it amount to parliamentary coup,if it all passed,as expected
 
Binafsi sioni tatizo kwenye hili maadamu tu mchakato huu uhusishe watanzania wenyewe na maamuzi yatoke kwao
Uhuru wa kweli ni pamoja na wananchi wanavyoshiriki katika kuitengeneza katiba yao na hii kwa Afirika tu duniani kote ukomavu wa demokrasia unapimwa kwa vigezo hivyo
Kwahiyo kama watanzania tunadhani mabadiliko ya kuongeza muda kwa watawala wetu madarakani ni jambo zuri basi na tufanye
Hakuna awaye yeyote atakayedhani au kufikiri kwamba tunaminya demokrasia
Juzi tu waingereza wamejitoa kwenye jumuiya ya ulaya kupitia maamuzi ya kura ya wananchi
Sasa nini mbaya maamuzi hayo wakiyafanya wananchi?
Tuache ubwanyenye hakuna atakayefikiri kwa niaba yetu kama mnadhani tukirekebisha mambo yetu basi eti waafrika tuna matatizo
Hakunaga hiyo
Kwanza mauchaguzi ya kila baada ya miaka mitano yanatumalizia hela tu badala ya kujenga nchi tunabakia na masiasa uchwara ya akina furani
Ingelikuwa amri yangu basi ningepitisha awamu za uchaguzi ziwe kila baada ya miaka 20
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…