Kumekucha: BAWACHA watinga Ubalozi wa Marekani kushinikiza Freeman Mbowe aachiwe huru

SIYO DHANA MBONA KASHINDWA KUWATOA? RUZUKU ANAKULA NANI? KINA HALIMA KILA MWEZI WANAPELEKA MSHIKO KWA GAIDI NYIE MNAISHIA KUPIGA MAPAMBIO JF
Unajidhalilisha kwa faida ya nani ?
 
Ukiona wife ulomuita wife material anaenda kwa mjumbe kukushitaki kisa unyumba jua huna mke apo
 
Kama una ushahidi tuwekee hapa hatafu tufananishe na 'Upigaji' unaofanywa na Makada wa Chama cha Mapinduzi
MAKADA WAMEWAJENGEA NCHI HII HII MNAYOIFUARHIA NA KUTUMIA MITANDAO KUICHAFUA MNGEKUWA NYIE SASAHIVI MNGEKUWA NAGOMANIA VYEO TU KILA MTU ANATAKA KUWA WAZIRI
 
SIYO DHANA MBONA KASHINDWA KUWATOA? RUZUKU ANAKULA NANI? KINA HALIMA KILA MWEZI WANAPELEKA MSHIKO KWA GAIDI NYIE MNAISHIA KUPIGA MAPAMBIO JF
Ndio maana nimekwambia hiyo ni Dhana tu kama Ushahidi upo tuwekee hapa Jukwaa la Siasa tuusome au hujui kusoma ndugu.
 
Unajidhalilisha kwa faida ya nani ?
asilimia 90 ya watanzania wanaielewa serikali iliyoko madarakani ndiyo maana lile shoga lenu la ubergiji lilipokuwa linaenda kwa bwana wake liliwaambia mufanye maandamano hakuna aliyeingia barabarani
 
Ndio maana nimekwambia hiyo ni Dhana tu kama Ushahidi upo tuwekee hapa Jukwaa la Siasa tuusome au hujui kusoma ndugu.
subiri ushahidi mwenzenu katumia mpaka basi sasahivi anajinyea tu mahabusu huko
 
asilimia 90 ya watanzania wanaielewa serikali iliyoko madarakani ndiyo maana lile shoga lenu la ubergiji lilipokuwa linaenda kwa bwana wake liliwaambia mufanye maandamano hakuna aliyeingia barabarani
Matusi na uchawi ndio tegemeo kubwa la masikini
 
MAKADA WAMEWAJENGEA NCHI HII HII MNAYOIFUARHIA NA KUTUMIA MITANDAO
Tokea Uhuru munasema Maji Safi kwa wote? na hao Wamalaysia ambao walikuwa sawa na sisi na leo wametuzidi kwa kila kitu nao wasemaje?
 
USA wanawaogopa Magaidi. Msifikiri watawasikia Kapla ya wao kuchunguza. Na wao ndio Walimu wa jeshi letu la POLICE...
 
wafanikiwe wapi wameenda kupeleka umalaya wao tu hapo hakuna hata chadema hapo
Nimefuatilia Comments zako zote kiukweli Upo tofauti na wenzako. Angalia jinsi wachangiaji wanavyokujibu utagundua KOSA unalofanya.

Tafuta namna bora ya kukosoa na jenga hoja kuwashawishi wanaosoma waamini.

Sasa wewe unashambulia na hata matusi bila kujua kuwa unafanya watu wakuchukie kwanza wewe na hata hoja zako kuonekana hazina maana. Angalia wenzako wanavyofanya.

Nafasi hii unayofanyia nahisi hutoshi
 
Mh.Regina Heiss....

Balozi huyu wa UJERUMANI nchini ameusifu uongozi wa Rais wa awamu ya 6 mh.SSH....

Ameelezea mafanikio makubwa aliyoyafanya ndani ya muda mfupi kuanzia uhuru wa habari n.k

Tundu Lissu limfikie hili.....

#YaNgosweMuachieNgoswe
#NchiKwanza
#SerikaliMbiliMilele
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…