Kumekucha: BAWACHA watinga Ubalozi wa Marekani kushinikiza Freeman Mbowe aachiwe huru

Kumekucha: BAWACHA watinga Ubalozi wa Marekani kushinikiza Freeman Mbowe aachiwe huru

Wambie waendw uba
Baraza la Wanawake la Chadema (BAWACHA) ambalo taarifa zinaonyesha kwamba ndio Baraza bora la wanawake Barani Afrika kwa sasa, limefika kwenye ubalozi wa Marekani nchini Tanzania kuchagiza kuachiwa kwa Mwamba wa siasa barani Afrika, Freeman Mbowe ambaye amesingiziwa ugaidi ili kumkomesha baada ya juhudi zake za kuhamasisha uwepo wa Tume huru ya uchaguzi na Katiba Mpya kukubalika na zaidi ya 80% ya Watanzania .

Video.

View attachment 1871504
Wambie waende mpaka ubalozi wa papa,
Ikiwezekana watafute na ubalozi wa mungu.
 
Wakitoka huko tuwapime malinda
 
Wambie waendw uba

Wambie waende mpaka ubalozi wa papa,
Ikiwezekana watafute na ubalozi wa mungu.
Mungu tayari katufanyia kazi 1 kwa ufanisi , bado 4 , tunatarajia kabla ya december zitakamilika
 
Ubalozi unahesabiwa ni nchi ndiyo maana Lisu alivyoingia tu mule kumtoa ikawa haiwezekani ila ili ugewe hizo privileges na wewe una sharti la kutoingilia mambo ya nchi husika.

So ubalozi wa Marekani wanachowaza fanya ni kuyapokea hayo malalamiko na kuyatuma kwa idara inayodeal na Afrika.

Hii yaweza chukua miaka.
Hujui kitu
 
Hivi sababu ya kumuondoa mkoloni ilikuwa Tanu kwa sasa ccm itawale milele au watanzania wajitawale wenyewe kwa katiba na Sheri na misingi yake.

Lunatic [emoji2957][emoji2957][emoji2957]
Tanu >CCM....ndio WATANZANIA WENYEWE HAO....

#KaziIendelee
#NchiKwanza
#SerikaliMbiliMilele
 
Back
Top Bottom