Kumekucha: BAWACHA watinga Ubalozi wa Marekani kushinikiza Freeman Mbowe aachiwe huru

😁😁😁😁😁
 
Hivi sababu ya kumuondoa mkoloni ilikuwa Tanu kwa sasa ccm itawale milele au watanzania wajitawale wenyewe kwa katiba na Sheri na misingi yake.


Lunatic [emoji2957][emoji2957][emoji2957]
Bora hata ya mkoloni alituletea maendeleo kuliko ccm
 
Hapo inawezakuwa wenye waume ni kama 10% - 15% mambo ya kifamilia tu yanawashinda sasa wanaka juani kupiga kelele.

Pumbavu kabisa.
 
Huyo USA baada ya 9/11 attack aliwaweka watuhumiwa kibao huko Guantanamo kwa tuhuma za ugaidi,

Baada ya kuwatesa kwa muda mrefu na kukosa ushahidi ilibidi awaachie tu,Obama mwenyewe alikiri kua kuanzishwa kwa jela huko Guantanama haikua uamuzi sahihi na aliahidi kuifunga ila mpaka anatoka madarakani hakufanya hilo.
 
yaani hapo ndiyo wameenda kumchongea kabisa marekani na magaidi ni vitu viwili tofauti hapo lazima wamarekani watamwambia mama kaza uziiiiiiiiii hachomoki wala msitangulize wanawake kuwa mtahurumiwa magaidi wakubwa nyie
 
Raisi wetu mpendwa Samia Suluhu Hassan tunakuomba umuachie Mwenyekiti wetu Freeman Mbowe bado tunamuhitaji sana.
Rais wetu mh.SSH ni msikivu sana....anaongoza serikali sikivu ya awamu ya 6....

Ila mh.Mbowe atakapotoka aendeleze busara zake za kusoma alama za nyakati....

Atambue kuwa mh.SSH ni mpole ,mnyenyekevu na msikivu mno....ila CCM iko vilevile....Chama chetu ni Cha kijamaa....HAKIBADILIKI....kiko vilevile....

#KaziIendelee
#SerikaliMbiliMilele
#NchiKwanza
 
yaani hapo ndiyo wameenda kumchongea kabisa marekani na magaidi ni vitu viwili tofauti hapo lazima wamarekani watamwambia mama kaza uziiiiiiiiii hachomoki wala msitangulize wanawake kuwa mtahurumiwa magaidi wakubwa nyie
Usiwafananishe Wamarekani na mazezeta ya CCM wanajua gaidi ni yupi na yupi sio gaidi.
 
Kesi tayari ipo mahakamani, labda kama wanata kupaza sauti ili kufikisha ujumbe.
Ila Mbowe ni bonge la gaidi jamani, yaani li li gaidi lisiloshirikiana magaidi wengine, makundi ya kigaidi anayotafadhili hayajulikani.
Kiwango cha pesa alichowatumia hao magaidi hakijulikani
Hii kesi imeshaisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…