Kumekucha! Bifu la Watangazaji wa Shilawadu na RC Makonda lafikia patamu na limenoga sasa

Hakuna aibu kubwa kuliko zote kama kunuka mdomo na miguu. Ni bora ukaonwa live unajisaidia haja kubwa kuliko hii aibu. Kwani hajui kama kuna dawa za kuondoa harufu mbaya miguuni na kinywani? Huyu kweli bashite(zero brain)
 
Ww jamaa kwa uchochezi una first class.

au na Wewe Mkuu una tatizo hilo hilo la kunuka Soksi, Miguu na kutema Ndomo? Pole sana ila nilichokifanya ni kuwasilisha Fumbo la SHILAWADU la jana usiku katika Kipindi chao na siku zote Waswahili huwa tuna tabia ya kutoa mafumbo makali na ya kuumiza hasa pale ambapo tukiwa tumefanyiwa jambo baya na Wenzetu katika Jamii, hivyo wenye akili tumewaelewa mno Watangazaji wa SHILAWADU akina Soud Brown na mwenzie Kwissa juu ya lile Fumbo lao la ' kutukuka ' kabisa la jana.
 
JINI MKATA UMEME [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Hili neno nalo la ' Jini mkata Umeme ' walikuwa wakilisema sana pale mwisho mwisho walipokuwa wanakaribia kumaliza Kipindi chao. Na cha kuchekesha zaidi na kuonyesha kuwa hawa ' Madogo ' jana waliamua na walijipanga kuja ' kumuumbua ' Mtu kila mara walikuwa wanaomba kuongezewa muda kidogo wa Kipindi na wakawa wanaruhusiwa na kilichokuwa kikiendelea hapo ni kila mara " wanaonuka soksi na miguu WAPO.....unasema WAPO.....na wanaonuka mdomo pia WAPO..... unasema WAPO.....jini mkata Umeme huyo Kaja.....oya Mlinzi yupo Gado lakini Jini Mkata Umeme asije kutuingilia humu ". Nimecheka mno jana hakyanani!
 
Kipindi pendwa cha RAIA namba moja.. Kwa hiyo RAIA namba moja alikipata mubashara jana
 
Bashite atakuwa alikuwa anawakera sana clouds,
Mtu uingie ofisini kwa watu na uwe unakesha hapo huku miguu&mdomo inanuka khaaah??
Namtoa baru .........
Ooh ...umenikumbusha mbalii Sana na usemi wa "Namtoa Baru"
 
Noted....., siku ya wajinga sio[emoji12] [emoji12] [emoji13] [emoji13] [emoji115] [emoji125] [emoji125] [emoji125]

Acheni ' uboya ' wenu nimeleta kitu ambacho kilikuwa ' mubashara ' jana na kama mliangalia kile Kipindi mtaelewa GENTAMYCINE nasema nini na sijauweka huu uzi kwa minajili kuwa leo ni siku yenu ya Wajinga. Kukubali kuwa leo ni siku ya Wajinga nadhani ni hitimisho rasmi kuwa tuna mapungufu makubwa Vichwani na nadhani badala ya kuikubali hii siku na kuipa promo au kipaumbele hivi basi tungeipinga isiwepo kwani inatudhalilisha mno kwa jicho la tatu.
 
Tumebaki kusifiana kwa umbeya na siyo maendeleo.
 
Mimi naona Hugo mtangazaji no kama mpuuzi flani asie jitambua
 
Hiii ndy Tanzania baana
 
Jana na Mimi nimeangalia kipindi inaonekana kweli mkuu GENTAMYCINE huyu Daudi Bashite ananuka miguu na mdomo nimeona Yale madongo kwa Paul Makonda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…