Pre GE2025 Kumekucha CCM: Nape na Makamba 'waula', walitumbuliwa ili kutambuliwa

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Kama Wassira ndo kiongozi wa wabeba maoni, hii nchi tuna safari ndefu sana
 
Mzee umepigwa na kitu kizitoo.
 
Kwa hiyo Nape kuongeza nguvu ili kufunga goli la mkono na kuhitimisha kauli yake ya hivi karibuni kuwa ishu sio kupiga kura muhimu ni nani anayehesabu kula na nani anayetangaza matokeo ifikapo 2025 Oktoba?
 
Na kuaminia mkuu
 
January kuwa Meneja wa Kampeni?
 
Ata wangewekwa wapike chakura kantini ccm sisi bado tunao wakina pwagu na pwaguzi
 
Nape na Makamba wamepumzishwa uwaziri ili kupewa nafasi ya kuisuka Ilani ya CCM. Inasemwa na waandamizi kuwa majukumu ya uwaziri yangewanyima nafasi ya kushiriki kikamilifu katika zoezi hilo.
Vipi kuhusu frozen overseas accounts
 
Ilani ipi? Ilani tayari ishaandaliwa zamani sana
 
Unajaribu kutuaminisha kuwa CCM ni wamoja!!

Mgawanyiko ni dhahiri na WA wazi!!

Tusubiri.
"Mgawanyiko" kati ya nani na nani?

Inapokuja kwenye maslahi binafsi, usitegemee kuona mgawanyiko mahali popote ndani ya chama hicho. Hili ni genge la ulaji, siyo chama cha siasa kinacho pigania maslahi ya wananchi tena.
 
Wajinga tu ndio wanaweza kuamini Nape na Makamba wametumbuliwa!! Sa100 Hana pumzi 2025 nje ya kutegemea hao vijana majizi wa kura!.

Baada ya 2025 makamba atakuwa wazori mkuu.
 
Umetisha Sana britanicca Ecynclopeadia ya taarifa nyeti za nyumba nambari moko.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…