Pre GE2025 Kumekucha CCM: Nape na Makamba 'waula', walitumbuliwa ili kutambuliwa

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Account za bwana mmoja ambaye ana 81B alizokuwa akibadilisha kwa dollars kama njugu wamei freeze hapo kwenye Ngamia mchangani

Kwa kifupi mambo si mambo hapa ikulu

BrBritaniccan
Nasikia hata yule wa Mtamq amekutwa na Tsh 40 Billion na zimekuwa frozen. Kile kiburi hakikuwa cha bure
 
Haya ndiyo mambo ya kutumbuliwa ili kutambuliwa. Mawaziri wa zamani Nape Nnauye na January Makamba wamejumuishwa kwenye Kikosi Maalum cha CCM kinachoandaa Ilani ya CCM ya mwaka 2025 hadi 2030. Kikosi hicho kinaongozwa na komredi Stephen Wassira.

Nyaraka za kichama zinaonesha kuwa Nape na Makamba sasa wamejumuishwa kwenye Kikosi hicho ili kuongeza nguvu ya uandaaji wa Ilani ya CCM ya uchaguzi ujao. Kwakuwa Ilani hubeba maono na mipango ya kila sekta, inaaminika kichama kuwa Nape na Makamba watatumia weledi wao kisiasa kupatikana kwa Ilani bora.

Tayari Nape na Makamba 'wameshajitambulisha' kwa Wassira pamoja na wajumbe wengine wa Kikosi hicho. Sasa ni dhahiri kuwa Nape na Makamba wamepumzishwa uwaziri ili kupewa nafasi ya kuisuka Ilani ya CCM. Inasemwa na waandamizi kuwa majukumu ya uwaziri yangewanyima nafasi ya kushiriki kikamilifu katika zoezi hilo.

Weledi na ukomavu wa akina Nape utaunganishwa na wa akina Wassira, Kabudi, Lukuvi na wengineo ili kupata Ilani bora ya CCM-nyaraka muhimu katika kuomba na kueleweka uchaguzini mwaka 2025. Kuna uwezekano mkubwa kuwa wote watarudi barazani baada ya uchaguzi wa 2025 na Kikosi hicho kutunukiwa nafasi ya Waziri Mkuu.

Kampeni zimeshaanza au tusubiri wakati wa uchaguzi?

Mzee Tupatupa wa Lumumba (kwasasa Dodoma)
Mzee Lukuvi karudi kwenye uwaziri, atapata muda wa kuandaa hiyo Ilani?
 
KUTUMBULIWA NI KUTUMBULIWA TU. Leo Makamba (Presidential figure kuwa mjumbe wa ati kuandika ilani? )
 
Haya ndiyo mambo ya kutumbuliwa ili kutambuliwa. Mawaziri wa zamani Nape Nnauye na January Makamba wamejumuishwa kwenye Kikosi Maalum cha CCM kinachoandaa Ilani ya CCM ya mwaka 2025 hadi 2030. Kikosi hicho kinaongozwa na komredi Stephen Wassira.

Nyaraka za kichama zinaonesha kuwa Nape na Makamba sasa wamejumuishwa kwenye Kikosi hicho ili kuongeza nguvu ya uandaaji wa Ilani ya CCM ya uchaguzi ujao. Kwakuwa Ilani hubeba maono na mipango ya kila sekta, inaaminika kichama kuwa Nape na Makamba watatumia weledi wao kisiasa kupatikana kwa Ilani bora.

Tayari Nape na Makamba 'wameshajitambulisha' kwa Wassira pamoja na wajumbe wengine wa Kikosi hicho. Sasa ni dhahiri kuwa Nape na Makamba wamepumzishwa uwaziri ili kupewa nafasi ya kuisuka Ilani ya CCM. Inasemwa na waandamizi kuwa majukumu ya uwaziri yangewanyima nafasi ya kushiriki kikamilifu katika zoezi hilo.

Weledi na ukomavu wa akina Nape utaunganishwa na wa akina Wassira, Kabudi, Lukuvi na wengineo ili kupata Ilani bora ya CCM-nyaraka muhimu katika kuomba na kueleweka uchaguzini mwaka 2025. Kuna uwezekano mkubwa kuwa wote watarudi barazani baada ya uchaguzi wa 2025 na Kikosi hicho kutunukiwa nafasi ya Waziri Mkuu.

Kampeni zimeshaanza au tusubiri wakati wa uchaguzi?

Mzee Tupatupa wa Lumumba (kwasasa Dodoma)
tunahitaji watu kama kadogosa dr dau, mh kishimba, watu wenye muona mbali
 
wameteuliwa na nani? Labda rafiki yao Nchimbi ndio kawateua hao vibaka. Kwanza wana weledi gani kama sio ubabaishaji tu.
 
Huyu mtu ni mpotoshaji mkubwa.
 
Back
Top Bottom