Usiku wa kuamkia leo klabu ya Esperance de Tunis ya nchini Tunisia iliishindilia mabao 4-2 klabu ya De Agosto ya nchini Angola katika nusu fainali ya pili ya michuano ya CAF na hivyo klabu ya Esperance de Tunisia kutinga fainali.
Fainali ya CAF itachezwa siku ya ijumaa kati ya Al Ahly ya Misri na Esperance de Tunis ya Tunisia .mshindi wa michuano hii ataiwakilisha Africa kwenye michuano ya klabu bingwa ya dunia