Kumekucha fainali ya CAF: Al Ahly kucheza na Esperance siku ya ijumaa

Kumekucha fainali ya CAF: Al Ahly kucheza na Esperance siku ya ijumaa

craq

JF-Expert Member
Joined
Mar 22, 2017
Posts
859
Reaction score
1,866
Usiku wa kuamkia leo klabu ya Esperance de Tunis ya nchini Tunisia iliishindilia mabao 4-2 klabu ya De Agosto ya nchini Angola katika nusu fainali ya pili ya michuano ya CAF na hivyo klabu ya Esperance de Tunisia kutinga fainali.

Fainali ya CAF itachezwa siku ya ijumaa kati ya Al Ahly ya Misri na Esperance de Tunis ya Tunisia .mshindi wa michuano hii ataiwakilisha Africa kwenye michuano ya klabu bingwa ya dunia
FB_IMG_1540356481501-600x600.jpg
 
Usiku wa kuamkia leo klabu ya Esperance de Tunis ya nchini Tunisia iliishindilia mabao 4-2 klabu ya De Agosto ya nchini Angola katika nusu fainali ya pili ya michuano ya CAF na hivyo klabu ya Esperance de Tunisia kutinga fainali.

Fainali ya CAF itachezwa siku ya ijumaa kati ya Al Ahly ya Misri na Esperance de Tunis ya Tunisia .mshindi wa michuano hii ataiwakilisha Africa kwenye michuano ya klabu bingwa ya duniaView attachment 909024
Waarabu hao hio itakua bonge la game.
 
Back
Top Bottom