Christopher Wallace
JF-Expert Member
- Dec 8, 2015
- 1,479
- 3,788
Huwa wananiacha hoi pozi zao,yaani kuna kitu nikiangalia tu najua hawa ndio wenyewe...Wachagga wamejitokeza kwa wingi sana leo jumapili kwenye ofisi mbalimbali za mabasi kwaajili ya kukata tiketi kuelekea kaskazini mwa nchi kusherehekea msimu wa sikukuu za Xmass na Mwaka mpya!! Wachagga mko vizuri
View attachment 2049761
Online ticket wanaijua ila tatizo ni ushamba, pia sioni mtu kaandikwa kabila lake mgongoni ksma jezi, au we umejuajeWachagga wamejitokeza kwa wingi sana leo jumapili kwenye ofisi mbalimbali za mabasi kwaajili ya kukata tiketi kuelekea kaskazini mwa nchi kusherehekea msimu wa sikukuu za Xmass na Mwaka mpya!! Wachagga mko vizuri
View attachment 2049761
....wakiwa nazo wachagga wote, hazitaenea barabarani, na huko Moshi watakosa parking!Hawana private cars?
Kaona viflat screen vimejazana ofisi za kukata tiketi. Una swali jengine mkuu?Umejuaje wote ni wachaga?!
Unatuwekea picha ya Bongo Star Search ndiyo nini!Wachagga wamejitokeza kwa wingi sana leo jumapili kwenye ofisi mbalimbali za mabasi kwaajili ya kukata tiketi kuelekea kaskazini mwa nchi kusherehekea msimu wa sikukuu za Xmass na Mwaka mpya!! Wachagga mko vizuri
View attachment 2049761