Kumekucha Gamondi alalamikia Viwanja na Waamuzi

Kumekucha Gamondi alalamikia Viwanja na Waamuzi

Kitambi chakufutia tachi

JF-Expert Member
Joined
Jun 16, 2019
Posts
1,063
Reaction score
2,566
Akizungumza na waandishi wa habari kuhusu mchezo wa kesho dhidi ya Geita gold.

"Nafahamu tutakuwa na mchezo mgumu kesho na sijui hali ya uwanja ikoje ila nahisi utakuwa kama ule wa mchezo uliopita.

"Kiukweli ninawasiwasi sana na uwanja pamoja na maamuzi ya waamuzi viwanjani kila mtu ameona kilochotokea ila ninaimani kutakuwa na mabadiliko."

NB: Mchezo wa kwanza ugenini tayari lawama zimeanza mwambieni ule uwanja wa juzi ni mzuri kuna Mkwakwani na Manungu huko nahisi atalia na kusaga meno.
 
Tuliza wenge mwanautopolo
Wewe ndiyo wenge! Yanga ina kikosi kipana, na pia ina wachezaji wengi wazuri kuliko hata msimu uliopita.

Kilichotokea kwenye mechi na Ihefu ni upangaji mbovu wa kikosi kilichoanza. Kocha hakuwaheshimu wapinzani. Na kama bado hujaelewa, basi naomba tuishie hapa hapa.
 
Kocha wetu lazima aelewe swala la marefa wabovu na viwanja vibovu havijawahi kuwa sababu ya Yanga kukosa ubingwa.
Ata ingekua tunacheza juu ya miti kikubwa ni kujua namna ya kutwaaa vikombe.
 
Back
Top Bottom