Kitambi chakufutia tachi
JF-Expert Member
- Jun 16, 2019
- 1,063
- 2,566
Akizungumza na waandishi wa habari kuhusu mchezo wa kesho dhidi ya Geita gold.
"Nafahamu tutakuwa na mchezo mgumu kesho na sijui hali ya uwanja ikoje ila nahisi utakuwa kama ule wa mchezo uliopita.
"Kiukweli ninawasiwasi sana na uwanja pamoja na maamuzi ya waamuzi viwanjani kila mtu ameona kilochotokea ila ninaimani kutakuwa na mabadiliko."
NB: Mchezo wa kwanza ugenini tayari lawama zimeanza mwambieni ule uwanja wa juzi ni mzuri kuna Mkwakwani na Manungu huko nahisi atalia na kusaga meno.