Kitambi chakufutia tachi
JF-Expert Member
- Jun 16, 2019
- 1,063
- 2,566
NakaziaHajasema bado
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].....duh!!Hatumtaki kocha,turudishieni Nabi
mwanauto mwandamizi si tulikubaliana jangwani tuna kikosi kinene? Embu niambie ulitaka apangeje kikosi...!Sababu kuu iliyosababisha Yanga kufungwa na Ihefu ilitokana na upangaji wake mbovu wa kikosi. Na wala siyo kwa sababu ya ubovu wa kiwanja.
Mimi nimeongelea upangaji mbovu wa kikosi. Sijasema Yanga haina kikosi kipana, au baadhi ya wachezaji wake ni wabovu.mwanauto mwandamizi si tulikubaliana jangwani tuna kikosi kinene? Embu niambie ulitaka apangeje kikosi...!
Hatumtaki kocha,turudishieni Nabi
Kwa hiyo kikosi cha utopolo si kipana tena?Sababu kuu iliyosababisha Yanga kufungwa na Ihefu ilitokana na upangaji wake mbovu wa kikosi. Na wala siyo kwa sababu ya ubovu wa kiwanja.
Nimemjibu mwenzako hapo juu, na wewe unauliza tena swali lile lile! Vijana wa rage sijui mna shida gani!Kwa hiyo kikosi cha utopolo si kipana tena?
Tuliza wenge mwanautopoloNimemjibu mwenzako hapo juu, na wewe unauliza tena swali lile lile! Vijana wa rage sijui mna shida gani!
Wewe ndiyo wenge! Yanga ina kikosi kipana, na pia ina wachezaji wengi wazuri kuliko hata msimu uliopita.Tuliza wenge mwanautopolo