Kumekucha Gamondi alalamikia Viwanja na Waamuzi

Mimi nimeongelea upangaji mbovu wa kikosi. Sijasema Yanga haina kikosi kipana, au baadhi ya wachezaji wake ni wabovu.
nataka useme ulitaka apangeje kikosi? Au ulitaka aingie yeye uwanjani kucheza?
 
Yanga waseme tu hawapedi guest house, Bado wanajisikia huru sana kupanua mapaja mashambani hususani kwenye majaruba.
 
Umezoea kulala kweny godoro sasa umeenda lazwa kweny ngozi unaanza lalama...zoea mazingira
 
Naanza kuwa na mashaka na Gamondi atulize kichwa kwanza, naona kama yeye ndiyo kikwazo ukianza utetezi hivi hata wachezaji wanachukuliwa sawa
 
Huyu kocha suala viwanja litamuumiza sana kama asipolifanyia kazi, si mara ya kwanza kuliongelea hili.

Kwani muda wote huo huwa haangalii mechi zinginr hadi aanze kulalamika leo?

Huyu anazingua, muda wote hajawahi kuwa hata anaangalia mechi za timu yake za nyuma?

Asituchezee akili mashabiki, tunataka ushindi sisi kama hawezi asepe zake. Mwinyi zahera hana kazi[emoji23].
 
Kwa viwanja vya mikoani kiwanja cha Hiefu ni miongoni mwa viwanja Bora Tanzania labda atafute sababu nyingine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…