Njemba Soro.
JF-Expert Member
- Oct 5, 2013
- 3,732
- 6,561
nataka useme ulitaka apangeje kikosi? Au ulitaka aingie yeye uwanjani kucheza?Mimi nimeongelea upangaji mbovu wa kikosi. Sijasema Yanga haina kikosi kipana, au baadhi ya wachezaji wake ni wabovu.