Originally not my comments but commentator's. Na nimeona ni kweli. Sasa tuko sawa na tukiingiza inferiority complex na visingizio,tunafungwa!. Ila kwa mchezo huu hata tukishinda leo hatutafika mbali.Sawa Mwl. Kashasha
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Uongo Mbaya. Makonda anajua kucheza na matukio. Mweh. Akaona achague mechi tunayocheza na vibonde wenzetu.
Vijana wameanza kuingiza barid..Originally not my comments but commentator's. Na nimeona ni kweli. Sasa tuko sawa na tukiingiza inferiority complex na visingizio,tunafungwa!. Ila kwa mchezo huu hata tukishinda leo hatutafika mbali.
Goli ni 2-2 drawRudi nyumbani kumenoga!
Umakin hauqo...Hawa jamaa wanachomoa kiajabu,2-2 sasa
Kenya 3..tz 2Ngapi huko
Hata mimi piaBado niko Harambee Stars
weka na image inayoonyesha goli la tatu la harambee stars.
AmenSisi 2 wao 2,Mungu tenda wema bashite afungwe
Kama namwona Ndugai akicheka kwa dharau. Yule kijana tambo zake huendana na gundu lake. Kila sehemu akitia kono lake, ni mkosi tosha.Sisi 2 wao 2,Mungu tenda wema bashite afungwe
Too sad! Ni timu ya taifa ndugu zangu, siyo ya Makonda. Huyu ni mmoja tu wa washabiki na mwamasishajiMakondaaaaa