NaughtyGuy
JF-Expert Member
- Nov 10, 2017
- 1,747
- 1,939
Yule ana gundu kwa kila agusalo...alitegemea kwa kuwa ni kenya basi ataamkia hapo apate sifa....arudi nyumbani kumenoga[emoji2][emoji2]Aisee huyu jamaa katutia kisirani kabisa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yule ana gundu kwa kila agusalo...alitegemea kwa kuwa ni kenya basi ataamkia hapo apate sifa....arudi nyumbani kumenoga[emoji2][emoji2]Aisee huyu jamaa katutia kisirani kabisa
Hahaaaa!!! 🙂 🙂 🙂 🙂 jamaa ana bahati mbaya sana huyuYule ana gundu kwa kila agusalo...alitegemea kwa kuwa ni kenya basi ataamkia hapo apate sifa....arudi nyumbani kumenoga[emoji2][emoji2]
Well.Too sad! Ni timu ya taifa ndugu zangu, siyo ya Makonda. Huyu ni mmoja tu wa washabiki na mwamasishaji
Vibonde wapi sie ndio vibondeUongo Mbaya. Makonda anajua kucheza na matukio. Mweh. Akaona achague mechi tunayocheza na vibonde wenzetu.
Ndugai 3,Makonda 2.Vibonde wapi sie ndio vibonde
Endeleeni kusimama na taifa letu pamoja na kufungwa...hakika kumi na sita bora lazima tuingie hata kama algeria atatufunga kama jirani alivofanya...
Taifa staaz mbele kwa mbele....
Kufungwa tatu sio mchezo nakwambia tumejitahidi na tukijipanga vizuri naona hili kombe ni letu....
Kwa hakika huu ni mwaka wetu watz
Kina chakaza wa hapa jf wamenuna
vibonde??????Uongo Mbaya. Makonda anajua kucheza na matukio. Mweh. Akaona achague mechi tunayocheza na vibonde wenzetu.
Yap,vibonde wenzetu.vibonde??????
Ha ha ha! Kweli Chakaza kanuna! Kanuna na matokeo ya mwisho kuona Harambee stars 3 CCM Warriors 2Kina chakaza wa hapa jf wamenuna
Mungu hawezi kuruhusu unafiki utamalaki, CCM team chali!Mganga wake atakuwa ni balaa..
But sipati picha huu ushindi ukidumu till mwisho, sijui huko bungeni [emoji23]
Makonda alisema timu kwa vile ni ya CCM itashinda kama ccm inavyoshinda.Huenda huko uliko umefurahi. Kungekuwa na vyombo vya dola mngevipeleka. Nina raha ya ajabu
Bao thalatha! Bado vibonde? Shida siasa na kujionesha kwa saana !Mungu hapendi binadam kujiinua! Atashusha tu. Tanzania haina watu waliokabidhiwa jukumu la michezo mpaka rc ndo aende ?Yap,vibonde wenzetu.
matoke bado makonda anaongoza?Kina chakaza wa hapa jf wamenuna