Kumekucha huko misri namuona Makonda hapa...

Kumekucha huko misri namuona Makonda hapa...

Endeleeni kusimama na taifa letu pamoja na kufungwa...hakika kumi na sita bora lazima tuingie hata kama algeria atatufunga kama jirani alivofanya...
Taifa staaz mbele kwa mbele....
Kufungwa tatu sio mchezo nakwambia tumejitahidi na tukijipanga vizuri naona hili kombe ni letu....
Kwa hakika huu ni mwaka wetu watz
 
Kaka pembe bwana

Tusubiri timu ikamilishe kubugizwa halafu irejee nyumbani ili wezi wa makontena ya samani wakae kimya.
 
Kina chakaza wa hapa jf wamenuna
Ha ha ha! Kweli Chakaza kanuna! Kanuna na matokeo ya mwisho kuona Harambee stars 3 CCM Warriors 2
Hongera sana Bwana Paulo Makonda kwa kusafirishwa haraka kwenda kutia hamasa timu ya chama chake ili ishinde.
 
Huenda huko uliko umefurahi. Kungekuwa na vyombo vya dola mngevipeleka. Nina raha ya ajabu
Makonda alisema timu kwa vile ni ya CCM itashinda kama ccm inavyoshinda.
Kasahau kuwa Kamisaa sio NEC na Refa sio DED. Kaja kutambua hilo dakika ya 90
 
Yap,vibonde wenzetu.
Bao thalatha! Bado vibonde? Shida siasa na kujionesha kwa saana !Mungu hapendi binadam kujiinua! Atashusha tu. Tanzania haina watu waliokabidhiwa jukumu la michezo mpaka rc ndo aende ?
 
Back
Top Bottom